• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Grand Prix ya Italia: Lewis Hamilton adhihirisha kasi yake haiwezi kusimamishwa

    (GMT+08:00) 2017-09-04 08:41:36
    Dereva wa Mercedes Lewis Hamilton ameshinda taji la ubingwa wa mbio za magari zijulikanazo kama Formula One Grand Prix ya Italia jana jumapili.

    Hamilto ameeleza ushindi wake huo kuwa ni kitu ambacho walikitarajia yeye na mshirika wake Valtteri Bottas na kumsimamisha kwa mara nyingine mpinzani wake Sebastian Vettel

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako