• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Serena Williams ajifungua mtoto wa kike, huku dada yake Venus atinga robo fainali mashindano ya wazi ya tennis

  (GMT+08:00) 2017-09-04 08:43:13

  Bingwa wa tennis Serena Williams amejifungua mtoto wa kike katika hospitali moja ya mjini Florida Marekani. Mwanamama huyo aliweka rekodi ya kushinda kinyanganyiro cha Australian Grand Slam kwa mara ya 23 mwaka huu January, japo alishindana akiwa mja mzito. Wakati huo huo dada yake Serena, Venus Williams amefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali ya michuano ya wazi ya tennis kwa kumfunga mpinzani wake Carla Suarez kwa seti tatu.na sasa atakutana kati ya Petra Kvitova au Garbine Muguruza.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako