• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bomu kubwa la Vita kuu vya pili vya dunia laharibiwa Ujerumani

    (GMT+08:00) 2017-09-04 09:15:33

    Bomu kubwa lenye uzito wa tani 1.8 ambalo halikulipuka wakati wa vita kuu vya pili vya dunia liliharibiwa jana alasiri, baada ya wakazi zaidi ya elfu 60 wa mji wa Frankfurt kuhamishwa kutoka kwenye nyumba zai tangu jumamosi usiku, ili kutoa nafasi kwa wataalamu kuharibu bomu hilo. Kwa mujibu wa polisi wa huko, bomu hilo liligunduliwa jumanne wiki iliyopita kwenye eneo moja la ujenzi kwenye wilaya ya Westend mjini Frankfurt.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako