• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watatu wakamatwa kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya raia wa China nchini Uganda

    (GMT+08:00) 2017-09-04 20:51:06

    Polisi nchini Uganda imewakamata watu watatu wanaoshukiwa kuhusika na kifo cha raia mmoja wa China kilichotokea wiki iliyopita katika wilaya ya Mukono.

    Naibu msemaji wa jeshi la polisi nchini Uganda Polly Namaye amesema kuwa watuhumiwa hao wanashikiliwa kwa tuhuma za kumuua kwa risasi raia wa China Yang Yeshu, ambaye alikuwa mweka hazina wa Kampuni ya Chuna na Plastiki iliyoko wilaya ya Mukono. Hata hiyo msemaji huyo alikataa kuwataja wahusika kwa hofu ya kuvuruga upelelezi unaoendelea.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako