• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Safaricom imechagua wakurugenzi wapya wawili

    (GMT+08:00) 2017-09-04 20:52:08

    Kampuni ya mawasiliano ya Safaricom imechagua wakurugenzi wapya wawili katika kile kinachosemekana ni sehemu ya mkakati wake wa kuongeza thamani ya wanahisa.

    Mwenyekiti wa Safaricom Nicholas Ng'ang'a amesema wakurugenzi hao wataleta utajiri wa utaalamu katika kuunda makampuni ya simu ya kimataifa duniani na Ulaya.

    Aidha amesema wanaendelea kuweka mtazamo mkubwa katika kujenga bodi ambayo inaweza kukidhi mahitaji ya biashara zao.

    At the same time, Safaricom announced the resignation of Gianluca Ventura as a substantive director of the company, who will now act as an Alternate Director to Vivek Badrinath.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako