• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Baiskeli za mbao tayari zimeingia kwa soko la Rwanda

    (GMT+08:00) 2017-09-04 20:52:25

    Baiskeli za mbao zinazotengenezwa nchini Rwanda tayari zimeingia kwa soko la Rwanda.

    Asilimia 80 ya malighafi inayotumika kutengeneza baiskeli, ni mti wa eucalyptus.

    Serikali ya Rwanda imechukua hatua za kukuza bidhaa za ndani.

    Sina amesema Wanyarwanda wanapaswa kuwa wafuasi wa kwanza kwa bidhaa za ndani badala ya kusifu bidhaa nyingine kutoka nje ya nchi.

    Baiskeli hii bei yake ni nafuu ikilinganishwa na gharama ya baiskeli ya kawaida zinazoagizwa kutoka nje.

    Kampuni ya Sina Gerard ya Urwibutso, ilibainisha kuwa gharama ya baiskeli haiwezi kwenda zaidi ya Rwf 80,000.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako