• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda kampuni ya udongo faida yake imepanda hadi Shs2.1b

    (GMT+08:00) 2017-09-04 20:52:46

    Katika matokeo ya nusu mwaka, Uganda Clays Limited (UCL) imeandikisha faida baada ya kodi ya sh bilioni 2.1 kutoka sh bilioni 1.2 mwezi Juni mwaka jana.

    Mtengenezaji wa bidhaa za udongo alihusisha faida hiyo na usimamizi bora, tathmini, usambazaji na ukandamizaji katika soko ambao ulipunguza gharama za mauzo ambayo imeshuka kutoka Sh bilioni 7.9 mwaka jana hadi Shs bilioni .5.5.

    Zoezi la urekebishaji ambayo ilianza mwaka 2014 na kumalizika mwaka 2016 ili kupunguza gharama za oparesheni, iliona wafanyakazi 80 wakipoteza kazi zao, na kuchangia kwa faida kubwa.

    Hata hivyo Mkurugenzi Mtendaji, Bw, George Inholo, amesema kufuta wafanyikazi wake kazi ilikuwa athari kidogo nzuri.

    Lakini ilikuwa usambazaji mkubwa na ukandamizaji wa kampuni katika sekta ambayo iliongeza faida.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako