• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Xi Jinping ahudhuria mazungumzo na maonesho ya mkutano wa BRICS

    (GMT+08:00) 2017-09-04 20:53:30

    Rais Xi Jinping wa China akiwa na marais Michel Temer wa Brazil, Vladimir Putin wa Russia, Jacob Zuma wa Afrika Kusini na waziri mkuu wa India Bw. Narendra Modi leo mjini Xiamen wamehudhuria mazungumzo kati ya viongozi wa nchi za BRICS na wajumbe wa viwanda na biashara.

    Akihutubia kwenye mkutano huo, Rais Xi amezihimiza kamati ya viwanda na biashara na benki mpya ya uendelezaji zilizoko chini ya mfumo wa BRICS kuongeza juhudi za kutekeleza mkakati wa wenzi wa uchumi uliofikiwa na nchi za BRICS, kuendeleza uchumi na kuhamasisha mawasiliano ya wananchi wa nchi hizo.

    Viongozi hao pia wamehudhuria tamasha la utamaduni wa BRICS na maonesho ya picha za utamaduni.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako