• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • CAF yasitisha ukaguzi maandalizi ya CHAN nchini Kenya

    (GMT+08:00) 2017-09-05 08:06:10
    Shirikisho la soka barani Afrika (CAF), limeahirisha ziara yake nchini Kenya kwenda kuthathmini utayari wa nchi hiyo kuandaa michuano ya CHAN baina ya wachezaji wanaocheza soka la ndani mashindano yanayotarajiwa kufanyika mwakani.

    Ukaguzi huo ulikuwa umepangwa kufanyika siku ya Alhamisi tarehe 7 mwezi huu, lakini CAF inasema kwa sababu ya mazingira ya kisiasa nchini humo, ukaguzi huo utafanyika wakati mwingine.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako