• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ligi kuu Tanzania Bara: Ratiba yatoka

    (GMT+08:00) 2017-09-05 08:06:29
    Ratiba iliyofanyiwa marekebisho ya ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara imetoka jana na big match inayosubiriwa kwa hamu baina ya Simba sports club na Azam Football Club itachezwa Jumamosi katika uwanja wa Chamazi. Shirikisho la soka Tanzania (TFF) imeamua kuanzia sasa timu ya Azam itumie uwanja wao wa nyumbani wa Azam complex chamazi.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako