• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Lukaku aipeleka Ubelgiji kombe la dunia

    (GMT+08:00) 2017-09-05 08:07:22
    Romeo Lukaku ameendelea kucheka na nyavu baada kufunga bao la ushindi wakati wa Ubelgiji wakiifunga Ugiriki 2-1. Bao lingine la Ubelgiji lilifungwa na Vertoghen huku bao la kufutia machozi la Ugiriki likiwekwa kimiani na Zeca.

    Nayo Ureno imeibuka kidedea kwa ushindi wa bao moja lililofungwa na Andre Silva dhidi ya Hungary huku Ufaransa wakitoka suluhu ya bila kufungana na Luxembourg. Uholanzi wakiwa nyumbani waliichabanga Bulgaria magoli 3-1, Ujerumani imeichabanga bila huruma Norway magoli 6-0, huku Poland wakiibuka na ushindi wa goli 3-0 dhidi ya Kazakhstan.

    Lukaku aipeleka Ubelgiji kombe la dunia

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako