Rais wa La Liga Javier Tebas ametoa malalmiko hayo kuhusu wamiliki wa klabu ya Manchester City ambao pia ni wamiliki wa klabu ya PSG kutokana na matumizi makubwa ya kifedha wanayoyafanya.
PSG na Manchester City wote wanamilikiwa na matajiri wa Qatar na toka wamezichukua timu hizo zimekuwa na matumizi makubwa sana ya pesa hali ambayo raisi wa La Liga amesema ni tishio kwa soka.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |