• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Michuano ya wazi ya Tennis nchini Marekani, Pliskova atinga robo fainali

  (GMT+08:00) 2017-09-05 08:15:46

  Karolina Pliskova aamefanikiwa kutinga robo fainali ya michuano ya wazi ya tennis inayoendelea nchini Marekani kwa kumshinda Jennifer Brady marekani kwa jumla ya seti 6-1 na 6-0 mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Arthur Ashe.

  Karolina sasa atakutana na Coco Vandeweghe katia raundi inayofuata.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako