• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mashirika ya chakula ya Umoja wa mataifa yatoa wito wa kuimarisha hatua za kukabiliana na ukame nchini Ethiopia

    (GMT+08:00) 2017-09-05 09:27:11

    Wakurugenzi wa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani WFP, Shirika la Chakula na Kilimo Duniai FAO na Shirika la Mfuko wa Kimataifa kwa ajili ya Maendeleo ya Kilimo IFAD wametoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuimarisha hatua za kukabiliana na ukame mkali nchini Ethiopia, ambako watu milioni 8.5 wanahitaji msaada wa dharura. Kwa mujibu wa serikali ya Ethiopia na mashirika ya kibinadamu, dola milioni 948 za kimarekani zinahitajika kuwasaidia watu milioni 5.6 wanaoathirika na ukame nchini humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako