• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Magari ya kurushia makombora ya masafa marefu ya Russia yaanza doria za kivita

    (GMT+08:00) 2017-09-05 09:27:45

    Taarifa iliyotolewa jana na Wizara ya ulinzi ya Russia imesema magari ya kurushia makombora ya msafa marefu ya aina 11, yakiwemo Topol, Topol-M na Yars, yameanza doria za kivita, ikiwa ni sehemu ya mazoezi ya kawaida ya kimkakati ya vikosi vyake vya makombora. Taarifa inasema zoezi la kuhamisha magari hayo yanayobeba makombora ya kinyuklia linafanyika mchana na usiku, na linahusisha vifaa 400 vya kijeshi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako