• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Umoja wa Afrika wazindua "Mwezi wa Msamaha Afrika" ili kukusanya silaha haramu

    (GMT+08:00) 2017-09-05 09:35:53

    Umoja wa Afrika umezindua pendekezo la "Mwezi wa Msamaha Afrika" ili kukusanya na kusalimisha silaha haramu, ikiwa ni sehemu za juhudi za kusimamisha biashara haramu ya silaha barani humo ifikapo mwaka 2020.

    Akizungumza kwenye uzinduzi huo, Mkurugenzi wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika Admore Kambudzi amesema, pendekezo hilo lina mchango muhimu kwa juhudi za Umoja huo za kudhibiti kuenea, mzunguko, usafirishaji, na matumizi ya silaha ndogo na nyepesi kwenye bara hilo. Amesema udhaifu katika utekelezaji na matumizi ya sheria zinazosimamia raia kumiliki silaha ndogo na nyepesi, bado ni tatizo kubwa katika nchi za Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako