• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Xi atakia mafanikio zaidi ya ushirikiano wa BRICS

    (GMT+08:00) 2017-09-05 13:20:21

    Leo mchana Rais Xi Jinping wa China alijumuisha hali ya mazungumzo ya viongozi wa nchi za BRICS na mazungumzo kati ya nchi zinazoibuka kiuchumi na nchi zinazoendelea duniani. Kwenye mkutano na waandishi wa habari, rais Xi, katika nafasi ya nchi mwenyeji wa mazungumzo hayo, alisema ushirikiano wa nchi za BRICS ulioanzishwa miaka kumi iliyopita wakati muundo wa dunia ulipopata mabadiliko kwa kina, ulifuatiliwa sana na jumuiya ya kimataifa. Nchi hizo zikikabiliana na changamoto mbalimbali ukiwemo msukosuko wa fedha duniani, zimepata njia mpya za kufanya ushirikiano kwa mshikamano, kusaidiana na kunufaisha pande zote. Viongozi wa BRICS wamekubaliana kuanzisha uhusiano wa kiwenzi wa kimkakati ulio wa karibu zaidi na kuhusisha maeneo makubwa zaidi.

         

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako