• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yaunga mkono Afrika Kusini kuandaa mkutano wa 10 wa viongozi wa BRICS

    (GMT+08:00) 2017-09-05 14:03:37

    Rais Xi Jinping wa China amesema viongozi wote wa nchi za BRICS wametambua kuwa wakati ushirikiano kati ya nchi hizo utakapoingia kipindi kipya cha miaka kumi, ujenzi wa utaratibu wa BRICS unatakiwa kwenda na wakati, ili kutoa uhakikisho thabiti kwa ushirikiano katika pande mbalimbali. Afrika Kusini itakuwa nchi mwenyekiti wa BRICS mwakani, na itaandaa mkutano wa 10 wa viongozi wa nchi za BRICS mjini Johannesburg. China inaamini kwamba mkutano wa mwakani hakika utapata mafanikio makubwa, na inapenda kushirikiana na pande mbalimbali kuunga mkono Afrika Kusini katika maandalizi ya mkutano huo, na kusukuma mbele ushirikiano kati ya nchi za BRICS.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako