• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wapiganaji 20 wameuawa katika operesheni ya jeshi la Afghanistan dhidi ya kituo cha Taliban huko Kunduz

    (GMT+08:00) 2017-09-05 18:37:52

    Wapiganaji zaidi ya 20 wameuawa baada ya jeshi la usalama la Afghanistan kufanya operesheni dhidi ya kituo cha kundi la Taliban katika sehemu ya Chardara iliyoko mkoani Kunduz, kaskazini mwa nchi hiyo, ili kutuliza hali ya mkoa huo.

    Kwa mujibu wa wakazi wa huko, sehemu ya Chardara inayochukuliwa kama kituo kikuu cha wapiganaji wa kundi la Taliban mkoani Kunduz, ina umuhimu mkubwa wa kimkakati kwa kundi hilo.

    Pia wamesema kama jeshi la serikali linaweza kuwafukuza wapiganaji hao kutoka sehemu hiyo, wapiganaji wengine wanaweza kuangamizwa katika sehemu za jirani za Dasht-e-Archi na Qala-e-Zal.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako