• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Barclays yatenga shilingi milioni 65 kwa msaada wa masomo

    (GMT+08:00) 2017-09-05 19:32:17

    Benki ya Barclays nchini Kenya imetenga shilingi milioni 65 kwa mpango wa kutoa msaada wa masomo kwa wanafunzi 430 katika vyuo vikuu nchini humo.

    Kila mwanafunzi atapokea dola 1,500 wakati wa mwka wa masomo wa 2017/2018 za kulipia masomo yao, malazi na kununua computa bebe.

    Barclays inashirikiana na halmashauri ya elimu ya juu ambayo iytatoa msaada huo kwa niaba ya benki hiyo.

    Mkurungezi wa Barclays Jeremy Awori amesema misaada huo ni sehemu ya shilling bilioni 12.5 za kusaidia wanafunzi barani Afrika na utajumuisha nchi 10 ndani ya miaka 3 ijayo .

    Nchini Kenya wanaonufaika na msaada huo ni kutoka kaunti zote 47.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako