• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kuelekea kombe la dunia 2018, Cameroon yawa ya kwanza kutolewa.

    (GMT+08:00) 2017-09-06 08:10:42
    Mabingwa wa kombe la mataifa ya Afrika, Cameroon hawatakuwepo kwenye fainali za kombe la dunia mwakani nchini Urusi baada ya kutolewa katika hatua ya mwisho ya mchujo na Nigeria, nayo Misri imeifunga Uganda 1-0 goli lililofungwa na Mohamed Salah.

    Mechi nyingine ilikuwa kati ya Ghana na Congo Brazzaville, mchezaji wa Atletico Madrid Thomas Partey alifunga hat-trick kwa Ghana ikiibuka na ushindi mnono wa goli 5-1, Cape Verde imeifunga Afrika Kusini 2-1, DRC wakitoshana nguvu ya 0-0 na Tunisia, Gabon licha ya kuwa pungufu wameizamisha Ivory Coast 2-1 na Mali na Morocco wakimaliza kwa suluhu ya 0-0.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako