• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • FUFA yaomba kupelekwa mbele mashindano ya soka la ufukweni Afrika Mashariki.

    (GMT+08:00) 2017-09-06 08:11:21
    Shirikisho la Soka nchini Uganda (FUFA) wameomba kupelekwa mbele Mashindano ya vilabu bingwa vya mpira wa ufukweni ya Afrika Mashariki na kati ambayo yalikuwa yaanze jana Visiwani Zanzibar.

    FUFA wameiandikia barua Baraza la vyama vya Michezo Afrika Mashariki CECAFA ambapo wameomba Mashindano hayo yasogezwe mbele kisha yaandaliwe na CECAFA wakishirikiana na Chama cha Soka Visiwani Zanzibar (ZFA) ambao ni wenyeji wa Mashindano hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako