• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ligi Kuu Uingereza: Drinkwater atua rasmi Chelsea na kuanza mazoezi

  (GMT+08:00) 2017-09-06 08:15:38

  Kiungo mpya wa Chelsea, Danny Drinkwater ameanza kazi rasmi. Drinkwater amesajiliwa na Chelsea kutoka Leicester City na tayari ameanza mazoezi na kikosi hicho.

  Pamoja na kuwepo na michuano ya kimataifa, wachezaji ambao hawajaitwa katika timu za taifa wameendelea kujifua chini ya kocha Antonio Conte.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako