Serikali za China, Tanzania na Zambia zilisaini makubaliano kuhusu kujenga reli ya TAZARA Septemba 5 mwaka 1967 hapa Beijing. Katika miaka 50 iliyopita, reli hiyo inayosifiwa kuwa reli ya uhuru na reli ya urafiki, kwa ujumla imesafirisha zaidi ya tani milioni 30 za mizigo na abiria zaidi ya milioni 40, na kutoa mchango mkubwa kwa maendeleo na ustawi wa Afrika.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |