• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kesi za kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu Kenya zaendelea kufunguliwa

    (GMT+08:00) 2017-09-06 09:30:42

    Aliyekuwa mgombea ugavana katika kaunti ya Mandera kwa tiketi ya chama cha Economic Freedom Bw Hassan Noor Hassan amefungua kesi ya kupinga uchaguzi wa Gavana wa Mandera Bw Ali Roba. Hatua hii imekuja siku chache baada ya Mahakama Kuu ya Kenya kubatilisha uchaguzi wa Rais na kuamuru uchaguzi mpya ufanyike.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako