• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Walimu DRC waingia kwenye mgomo wakidai nyongeza ya mshahara

    (GMT+08:00) 2017-09-06 09:31:49

    Shule za msingi na sekondari nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zilipangwa kufunguliwa wiki hii. Licha ya maandalizi yaliyofanywa na wazazi siku chache kabla ya kabla ya kufunguliwa kwa shule, walimu waliamua kuweka chini chaki na kutaka serikali iboreshe kwanza mazingira ya kazi kabla ya wao kurudi kazini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako