• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bado kuna tofauti kubwa kati ya Uingereza na EU kuhusu suala la Brexit

    (GMT+08:00) 2017-09-06 09:52:18

    Waziri anayeshughulikia mambo ya Uingereza kujitoa Umoja wa Ulaya Bw. David Davis amesema, bado kuna tofauti kubwa kati ya Umoja wa Ulaya na Uingereza kuhusu Uingereza kujitoa Umoja wa Ulaya.

    Bw. Davis amesema ni bayana kuwa pande zote mbili zitabeba majukumu ya kifedha kwa upande mwingine yatakayoiwezesha Uingereza kujitoa Umoja wa Ulaya, na ufumbuzi wa suala hilo unatakiwa kufanyika kwa mujibu wa sheria na kwenye msingi wa kudumisha uhusiano wa kiwenzi kati ya pande hizo mbili kutokana na misimamo tofauti ya kisheria ya pande hizo mbili.

    Bw. Davis amesema mazungumzo kati ya pande hizo mbili yaliyofanyika wiki iliyopita huko Brussels yalikuwa magumu, lakini yamepata maendeleo katika masuala mengi muhimu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako