• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkoa wa Hebei nchini China wafuatilia vyanzo vya uchafuzi wa hewa

    (GMT+08:00) 2017-09-06 18:27:47

    Mkoa wa Hebei ulioko kaskazini mwa China umeongeza vituo vya kusimamia kithabiti vyanzo vya uchafuzi wa hewa, ikiwa ni juhudi mpya za mkoa huo za kupambana na uchafuzi wa hewa.

    Tangu mwanzo wa mwaka huu, idara ya ulinzi wa mazingira ya mkoa huo imeitaka miji kadhaa kuweka vifaa vitakavyokusanya data za uchafuzi, kwa lengo la kuanzisha mtandao wa mkoa mzima wa kudhibiti uchafuzi.

    Hebei inalenga kupunguza kwa asilimia 40 kiasi cha PM 2.5 ifikapo mwaka 2020, ikilinganishwa na kiwango cha mwaka 2013, kupitia kupunguza uzalishaji kupita kiasi viwandani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako