• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wapiganaji wa kundi la Al-Shabaab wakata vichwa vya watu wanne huko Lamu, Kenya

    (GMT+08:00) 2017-09-06 19:35:53

    Polisi nchini Kenya imethibitisha kuwa wapiganaji wanaotuhumiwa kutoka kundi la Al-Shabaab jana usiku wamewachinja watu wanne katika kaunti ya Lamu nchini Kenya.

    Kamada wa polisi wa kanda ya Pwani Larry Kieng amesema, wanakijiji wanne walipigwa risasi kisha kukatwa vichwa na wapiganaji wenye silaha walioshambulia kijiji cha Hindi.

    Kieng amesema, maofisa usalama wanawasaka watuhumiwa ambao walikimbilia msitu wa Boni ambao wanautumia kama sehemu yao ya kujificha.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako