• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Iran yasema inapenda kuboresha uhusiano na Saudi Arabia

    (GMT+08:00) 2017-09-07 08:59:18

    Waziri wa mambo ya nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema kama Saudi Arabia ina nia ya kuboresha uhusiano kati yake na Iran, Iran iko tayari kufanya hivyo. Bw. Zarif amesema Saudi Arabia ni nchi muhimu ya kiislamu na Iran iko tayari kushirikiana nayo kutatua masuala yaliyopo kati ya nchi za kiislamu. Akizungumizia suala la Syria, Bw. Zarif amesisitiza kuwa Iran inapinga kutatua suala hilo kwa njia ya kijeshi, na kwamba hatma ya Syria inapaswa kuamuliwa na wananchi wa Syria wenyewe.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako