• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Zanzibar kukarabati uwanja wa ndege wa Pemba ili kuvutia watalii

    (GMT+08:00) 2017-09-07 08:59:38

    Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inapanga kuufanyia ukarabati uwanja wa ndege wa Pemba kwa lengo la kuhimiza maendeleo ya utalii na kuvutia watalii kutoka nje. Katibu mkuu wa wizara ya miundombinu, mawasiliano na uchukuzi Mustafa Jumbe amesema, zamani kisiwa cha Pemba kilikuwa kinafikika kwa ndege za kukodi au njia ya bahari tu, na sasa serikali ya Zanzibari inapanga kuboresha miundombinu ya uwanja wa ndege wa kisiwa hicho na kuufanya ufikie viwango vya kimataifa ili kuweza kupokea ndege kubwa zaidi. Kazi hiyo ni sehemu ya mradi unaofadhiliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako