• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Polisi Rwanda wawakamata washukiwa 7 wa makundi ya wapiganaji

    (GMT+08:00) 2017-09-07 08:59:55

    Polisi nchini Rwanda wamewakamata washukiwa 7 wanaotuhumiwa kuwa na uhusiano na makundi ya wapiganaji wanaofanya shughuli zao katika nchi jirani. Taarifa iliyotolewa na polisi inasema watatu kati yao ni vijana walioandikishwa na makundi hayo ambao walikamatwa wakiwa njiani kuelekea kupewa mafunzo ya kijeshi nje ya Rwanda, na polisi nchini Rwanda wanafanya uchunguzi kuhusu mtandao wa uandikishaji wa makundi hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako