• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Homa ya uchaguzi yaenea nchini Kenya wakati uchaguzi mpya ukikaribia

    (GMT+08:00) 2017-09-07 09:25:48

    Homa ya uchaguzi imeendelea kutanda nchini Kenya wakati wananchi wa huko wakijiandaa kwa uchaguzi mpya wa rais.

    Uchaguzi huo utawakutanisha wagombea wawili, rais wa sasa wa nchi hiyo Uhuru Kenyatta na hasimu wake ambaye ni mgombea kwa tiketi ya muungano wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga. Wagombea hao wanapanga upya timu zao kwa ajili ya ushindani mkali katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba 17, ambao unaashiria mwisho wa maisha ya kisiasa kwa wagombea wote endapo mmoja wao atashindwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako