• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Tanzania: Ewura KUPANDISHA BEI YA MAFUTA MWEZI SEPTEMBA

  (GMT+08:00) 2017-09-07 19:48:24

  Wenye magari watalazimika kulipa zaidi kwa mafuta mwezi huu, hii ni baada ya mdhibiti wa nishati na maji kuongeza bei za rejareja kwa petroli na dizeli kutokana na kupanda kwa bei za soko la mafuta duniani.

  Dar es Salaam, bei mpya za petroli, dizeli na mafuta taa itakuwa sh 1,989 / 1,887 / na 1,811 kwa mtiririko huo, Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetangaza jana.

  Hata hivyo, Watumiaji wa mafuta taa katika sehemu nyingine za nchi watafurahia kushuka kwa bei na 19 / - ambayo ni sawa na asilimia 1.04.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako