• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • UTUMWAJI WA FEDHA KUTOKA NJE UMEONGEZEKA HADI SH BN 90

    (GMT+08:00) 2017-09-07 19:48:48

    Fedha tumwa nyumba na wakenya wanaoishi nchi za ziliongezeka kwa asilimia 4.1 katika nusu ya kwanza ya mwaka hadi dola milioni 887.6 (Sh91.6 bilioni) ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka jana.

    Takwimu za hivi karibuni za Benki Kuu ya Kenya (CBK) zinaonyesha kwamba utumwaji wa fedha uliongezeka kwa kiasi kikubwa katika robo ya pili ya mwaka huu ikilinganishwa na wa kwanza.

    Gavana wa CBK Patrick Njoroge amesema katika mkutano kwamba baada ya mkutano wa kamati ya kusimamia sera za kifedha mwezi Julai kuwa utumwaji wa fedha za juu, mapato ya utalii, na mauzo ya nje ya kilimo itasaidia nchi kupunguza upungufu wa akaunti ya sasa ifikapo mwishoni mwa mwaka, licha ya kuongezeka kwa bidhaa za nje .

    Utumwaji wa fedha na wakenya kutoka nje ndiyo chanzo kikubwa cha fedha za kigeni.

    Hata hivyo uingiaji wa fedha za kigeni nchini mwaka huu umepungua ikilinganishwa na mwaka 2016, ambapo fedha zilizotumwa ziliosimamia dola milioni 852.5 katika miezi sita hadi Juni, baada ya kuongezeka kwa asilimia 13 kutoka dola milioni 753.7 zilizotumwa nyumbani kwa kipindi kama hicho mwaka 2015.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako