• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Mauzo ya kahawa Uganda yaongezeka

    (GMT+08:00) 2017-09-07 19:52:45

    Kupanda kwa bei ya kahawa kwenye soko la kimataifa kumepelekea kuongezeka kwa mapato ya bidhaa hiyo nchini Uganda.

    Ripoti iliotolewa Agosti na mamlaka ya kahawa nchini humo inaonyesha kwamba Uganda imepata dola milioni 327 tangu mwanzoni mwa mwaka huu.

    Mkurungezi wa benki kuu ya Uganda Adam Mugume, amesema ongezeko hilo la mauzo limetokana na Uganda kuanza kuuza kwa masoko mapya ya DR Congo nan chi za magharibi mwa Afrika.

    Licha ya ukame ulioathiri nchi nyingi za Afrika Mashariki, uzalishaji nchini Uganda uliongezeka karibu maradufu kutoka kilo milioni 12.6 kwa mwezi hadi kilo milioni 24.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako