• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yabadilishana uzoefu na dunia kuhusu matumizi ya teknolojia kwenye udhibiti wa jangwa

    (GMT+08:00) 2017-09-08 09:02:41

    Mjumbe wa China amebadilishana uzoefu na dunia kuhusu matumizi ya teknolojia kwenye udhibiti wa jangwa katika mkutano wa 13 wa nchi zilizosaini Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu udhibiti wa jangwa. Mchumi mkuu wa Idara kuu ya misitu ya China Bw. Zhang Hongwen amesema serikali ya China inatilia maanani kazi ya udhibiti wa jangwa kwa kutumia teknolojia, na imetumia uzoefu wake kwenye ushirikiano wa udhibiti wa jangwa katika "Ukanda mmoja Njia moja", Jumuiya ya nchi za kiarabu na barani Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako