• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kigali-Shirika la usalama wa ulipaji kwa mtandao limeitaja Rwanda kama nchi iliyo na mfumo mzuri zaidi wa ulipaji wa mtandao.

  (GMT+08:00) 2017-09-08 19:54:07

  Hii inafuatia ukaguzi uliofanywa nchini Rwanda wa huduma za kulipa kwa mtandao na shirika la Payment Card Industry PCI. Ukaguzi huo pia ulifanywa katika nchi za Tanzania, Kenya, Ethiopia, Namibia, Nigeria, Botswana, Ghana, Zambia, Malawi na Zimbabwe. PCI ni shirika la kibinafsi linaloaminika katika kuhakikisha usalama wa kulipa kwa mtandao. Wawekezaji wengi wamekuwa wakimiminika nchini Rwanda baada ya serikalio ya nchi hiyo kuweka mazingira salama ya kibiashara. Rwanda pia imetajwa kuwa nchi iliyopiga hatua kubwa katika masuala ya technolojia ya mawasiliano.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako