• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Serikali ya Syria yakanusha matumizi ya silaha za kemikali kwenye mapambano

    (GMT+08:00) 2017-09-09 18:22:39

    Serikali ya Syria imelitumia barua baraza la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa kuitikia ripoti ya uchunguzi iliyotolewa hivi karibuni na kamati ya uchunguzi ya baraza hilo, ikikanusha juu ya kulaumiwa kwa jeshi la serikali ya Syria limetumia silaha za kemikali aina ya sumu ya Sarin kwenye mapambano.

    Barua hii inasema jeshi hilo halijawahi kutumia sumu ya Sarin nchini humo ikiwemo mkoa wa Idleb kaskazini mwa nchi hiyo, serikali hiyo haijawahi na haitatumia sumu dhidi ya wananchi, serikali haimiliki sumu hiyo hata kidogo, na kuchukua kitendo cha kutumia silaha za kemikali ni uhalifu unaotakiwa kulaaniwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako