• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • UNHCR yasema Warohingya laki 2 na elfu 70 wamekimbia Myanmar hadi Bengal

    (GMT+08:00) 2017-09-09 18:36:08

    Shirika la kuwahudumia wakimbizi(UNHCR) limetoa taarifa kwamba, katika wiki mbili zilizopita, Warohingya wapatao laki 2 na elfu 70 wamekimbilia Bengal kutoka Myanmar na kusababisha hali ya dharura kwa kambi ya wakimbizi nchini humo.

    Shirika hilo limesema, wakimbizi hao wakiwemo wanawake na watoto wengi wanahitaji vyakula, makazi na dawa. Limetoa wito kwa pande mbalimbali kuchukua hatua kutatua tatizo muhimu linalosababisha suala la wakimbizi na kuwawezesha wakimbizi hao kurudi nyumbani kwao kwa usalama.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako