• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Waandishi wa habari kutoka CRI watembelea eneo la Shan Haiguan

  (GMT+08:00) 2017-09-10 20:34:49

  Waandishi wa habari kutoka Radio China Kimataifa (CRI) wametembelea eneo la Shan Haiguan, ambako kuna vivutio kadhaa vya utalii, ikiwemo eneo la Lao Longtou ambako wametembelea ngome iliyojengwa na Jenerali Xu Da wakati wa enzi ya utawala wa Ming (1368 -1644). Ngome hii ni muhimu kwa kuwa ni sehemu muhimu katika mkakati wa kijeshi, hivyo majeshi wa enzi hizo yalikuwa yanapigana ili kuweza kudhibiti sehemu hiyo.

   

  Waigizaji wanaigiza jinsi Mfalme wa enzi ya Qing alivyokuwa akisimamia shughuli za kijeshi

  Watoto wakicheza Kung Fu

  Mwandishi wetu Caroline Nassoro akicheza ngoma ya Dragon

  Waigizaji wakionyesha waandishi wa habari ngoma ya Dragon

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako