• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ligi kuu Tanzania Bara: Simba yatoshana nguvu na Azam

  (GMT+08:00) 2017-09-11 08:49:57

  Dakika ya 93 kipyenga cha refa kikipulizwa kuashiria mchezo kumalizika kwa sare ya 0-0 baina ya wenyeji Azam FC ilipoikaribisha Simba Sports Club katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliofanyika katika uwanja wa Azam Complex Chamazi jijini Dar es salaam.

  Kwa matokeo hayo, Simba SC imefikisha pointi 4 sawa na Azam, inaendelea kuongoza ligi kwa wastani wa mabao, Prisons nayo imelazimishwa sare ya 2-2 na Maji Maji ya Songea. Yanga imeifunga Njombe mji 1-0, Singida United 2-1 dhidi ya Mbao fc, Ndanda fc 1-Mbeya City 0

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako