• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mchezaji wa Serengeti Boys afuzu majaribio Esperance ya Tunisia

    (GMT+08:00) 2017-09-11 08:50:17

    Mshambuliaji chipukizi wa Tanzania, Yohana Oscar Nkomola amefuzu majaribio katika klabu ya Esperance ya Tunisia na sasa anatarajiwa kusaini mkataba.

    Nkomola alikuwa timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys iliyoshiriki fainali za vijana Afrika Mei mwaka huu nchini Gabon.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako