• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Nchi za Ukanda mmoja na njia moja zashirikiana kudhibiti jangwa

    (GMT+08:00) 2017-09-11 09:09:11

    Nchi zilizoko kwenye "ukanda mmoja, njia moja" zimezindua utaratibu wa ushirikiano katika kupambana na kuenea kwa jangwa. Utaratibu huo umeanzishwa kando ya kikao cha 13 cha Mkutano wa nchi zilizosaini mkataba wa Umoja wa mataifa wa kupambana na kuenea kwa jangwa. Mkurugenzi wa idara kuu ya misitu ya China Bw. Zhang Jianlong amesema utaratibu huo utasaidia nchi wanachama kushirikiana katika kukusanya fedha, kubadilishana taarifa, kutoa mafunzo na kufundishana kupitia miradi ya mfano.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako