• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wakimbizi 305 wa Syria wafika Cyprus

    (GMT+08:00) 2017-09-11 09:09:50

    Polisi nchini Cyprus wamesema wakimbizi 305 wa Syria wakiwemo wanawake 30 na watoto 73, walifika nchini humo jumamosi kwa meli mbili. Msemaji wa polisi ya Cyprus amesema meli hizo zilizojaa watu kupita kiasi ziligunduliwa kwenye bahari ya kaskazini magharibi mwa nchi hiyo, na serikali ya Cyprus ilituma meli kadhaa na helikopta moja kuwaokoa. Msemaji huyo amesema wakimbizi wapatao 800 kutoka Syria wamefika Cyprus kwa njia ya bahari mwaka huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako