• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Serikali ya Uganda yawarudisha waasi wa kundi la M23 nchini DRC

    (GMT+08:00) 2017-09-11 09:28:41

    Serikali ya Uganda imewarudisha waliokuwa waasi wa kundi la M23 nyumbani kwao Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, siku chache baada ya serikali ya Uganda kulalamika kuwa waasi hao bado wanaendelea kuvuruga amani. Baadhi ya watu hao wameonyesha nia ya kutaka kurudi nyumbani baada ya hali nyumbani kutulia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako