• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Serikali ya Kenya kuitanisha Nakumatt na wadai wake

    (GMT+08:00) 2017-09-11 09:29:03

    Wadadisi wa masuala ya uchumi wanasema juhudi zote zinatakiwa kufanyika ili kutatua msukosuko wa kifedha unaoyakumba maduka ya Nakumatt. Hii ni kutokana na umuhimu wa kampuni ya Nakumatt kwenye biashara ya reja reja nchini Kenya, na hata katika nchi za jirani. Hata hivyo serikali ya Kenya imesema haitaisaidia Nakumatt kifedha, isipokuwa itawakutanisha na wadeni wake, ili kutafuta njia bora za kulipa madeni yao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako