• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yatarajia hatua za baraza la usalama zitasaidia kulinda amani na utulivu wa peninsula ya Korea

    (GMT+08:00) 2017-09-11 19:22:18

    Habari zinasema Marekani imetunga mswada mpya wa kuiwekea vikwazo Korea Kaskazini kutokana na majaribio ya 6 ya nyuklia ya nchi hiyo, na mswada huo utawasilishwa kwenye baraza la usalama la Umoja wa Mataifa leo.

    Akizungumzia jambo hilo msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Geng Shuang amesisitiza kuwa China inakubali baraza la usalama kuchukua hatua zaidi, lakini hatua mpya zinatakiwa kusaidia kutimiza hali ya kutokuwepo kwa silaha za nyuklia kwenye peninsula ya Korea, kulinda amani na utulivu wa peninsula hiyo, na kusukuma mbele utatuzi wa suala la nyuklia kwa njia ya amani na kisiasa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako