• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ethiopia yatoa msamaha kwa wafungwa wengi kabla ya mwaka mpya wa jadi

    (GMT+08:00) 2017-09-11 20:03:36

    Serikali ya Ethiopia imetoa msamaha kwa wafungwa wengi kutokana na kukaribia kwa mwaka mpya wa jadi.

    Rais Mulatu Teshome wa Ethiopia jana alitangaza kutoa msamaha kwa wafungwa 697. Amesema, watu hao wamebadilika na kupenda kushiriki kwenye shughuli mbalimbali sahihi ili kurudi kwenye jamii.

    Kila mwaka Ethiopia hutoa msamaha kwa wafungwa kabla ya mwaka mpya wa jadi. Masharti ya msamaha huo ni pamoja na, uhalifu usio mkubwa, kufanya vizuri gerezani na hali ya afya na familia ya wafungwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako