• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Korea Kaskazini yaipa onyo Marekani kwa kuiwekea vikwazo vipya

    (GMT+08:00) 2017-09-11 20:04:05

    Wizara ya mambo ya nje ya Korea Kaskazini imetoa taarifa ikisema, Korea Kaskazini itachukua hatua dhidi ya Marekani kama ikiendelea kutoa pendekezo jipya la vikwazo dhidi yake katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

    Taarifa hiyo imesema, kitendo cha Korea Kaskazini kufanya utafiti wa silaha za nyuklia ni hatua ya kukabiliana na tishio la kinyuklia la Marekani dhidi ya nchi yake na kwamba ni kitendo halali cha kujilinda.

    Habari zinasema, leo Marekani inapanga kuidhinisha mswada mpya wa vikwazo dhidi ya Korea Kaskazini na kutarajia kupiga kura kwenye baraza hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako